Mkoa wa Hambol
Mandhari
Mkoa wa Hambol | |
Mahali pa Mkoa wa Hambol (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Vallée du Bandama |
|
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Vallée du Bandama |
Serikali[1] | |
- Prefect | Omepieu Yul Lambert |
- Rais wa Baraza | Brahima Traoré |
Eneo[2] | |
- Jumla | 19,122 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 429,977 |
GMT | (UTC+0) |
Mkoa wa Hambol (kwa Kifaransa: Région du Hambol) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Uko katikati ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Katiola. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 429,977.
Hambol kwa sasa imegawanywa katika wilaya tatu:
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ "Hambol" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Hambol kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |